Sasa kwenye mpira kosa kosa si kawaida we ulitaka wasishambuliwe kwani wao hawajakosa magoli tena wao wamekosa mengi kuliko ureno unabahatisha kaa na chuki zake na Morocco anabeba ndoo jiandae kisaikolojia kwenye mpira hakuna neno bahatiAcha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Kwani mpira si mchezo wa makosaAcha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Ila waafrika dini zimetufanya kuwa wapumbavu sasa hapo dini imeingiaje mkuu?Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Nakwambia huyo ni shabiki maandazi hata sijui mpira anaangalia wapiWaliokoswa sana ni Ureno na wala sio Morocco. Labda kama haujaangalia mpira
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
haya bado una hayo mawazo?Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
ala bado una huo msimamo?Mkuu hili halina ubishi kabisa
Finali ni ARGENTINA VS PORTUGAL
Mmoja wao anaondoka na kombe na kustaafu kabisaa
oh pole subiri world cup ijayoNapenda kuiona nusu fainali ya ureno na ufaransa ili fainali ya Euro 2016 ijirudie.
oh? haya morocco kapigwa ngapi?Morocco anatoka !! Ureno ni wajanja sana Tena anaweza kupigwa goli nyingi ndani ya dk 90.
ha ha dua la kukuNiitakie Morocco mvua za mapema tu arudi alikotoka nyodo zimezidi. Ninasimama na France.
Sawa, bado nasimama na France.ha ha dua la kuku
Umechelewa kutoa maoni haya. Au ndio kusema hukuuona huu uzi kabla ya mechi?Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.
Mzee mimi sijui mpira ila wewe sasa ni kiazi kwenye mpira. Huwa sichangii mada za mpira ila nimekuja hapa kukwambia achana na hizi mambo hujui kitu. Kwanza hii WC unatazama au unaendeshwa na kumbukumbu za kihistoriaAcha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Nimekoma😂😂oh? haya morocco kapigwa ngapi?
Kijana huwa naheshimu michango yako kuhusu ndege ila kwenye mpira usiwe mwepesi kuongea na wazoefu kama sisi. Narudia tena Morocco ni timu nzuri ila inatembea kwenye bahati ambayo sijui wataipata mpaka lini.Mzee mimi sijui mpira ila wewe sasa ni kiazi kwenye mpira. Huwa sichangii mada za mpira ila nimekuja hapa kukwambia achana na hizi mambo hujui kitu. Kwanza hii WC unatazama au unaendeshwa na kumbukumbu za kihistoria
Umezidiwa na mapenzi ya dini ndio maana unasema Portugal kakoswa zaidi.Sasa kwenye mpira kosa kosa si kawaida we ulitaka wasishambuliwe kwani wao hawajakosa magoli tena wao wamekosa mengi kuliko ureno unabahatisha kaa na chuki zake na Morocco anabeba ndoo jiandae kisaikolojia kwenye mpira hakuna neno bahati
Mimi nimekuwa fan wa zidane tangu nimfahamu mwaka 1998 na wala dini yake haijawahi kuwa kikwazo. Nitasema ukweli siku zote. Narudia tena Morocco ni timu nzuri ila inatembea kwenye bahati ambayo sijui wataipata mpaka lini.Ila waafrika dini zimetufanya kuwa wapumbavu sasa hapo dini imeingiaje mkuu?
Kama ni dini hata hizo timu za ulaya mnazo shabikia kama Uingereza na Ufaransa zimejaa wachezaji wa kiislam.
This is too low. Ushabiki usikufanye uwe mpumbavu.Waliokoswa sana ni Ureno na wala sio Morocco. Labda kama haujaangalia mpira
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Sawa.Morocco anatoka !! Ureno ni wajanja sana Tena anaweza kupigwa goli nyingi ndani ya dk 90.