Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi.
Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu mashabiki kuwajaza upepo mpaka mtoe pesa na mkitoa hamna chenu.
Pesa zenu watu watanywea bia, wine, watahonga, watajenga apartment ili watoto wao waishi vizuri n.k
Ila kisheria pesa si zenu tulieni.
Someni Uzi wangu wa zamani 👇
Thread 'Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu' Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu