Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi.
Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu mashabiki kuwajaza upepo mpaka mtoe pesa na mkitoa hamna chenu.
Pesa zenu watu watanywea bia, wine, watahonga, watajenga apartment ili watoto wao waishi vizuri n.k
Ila kisheria pesa si zenu tulieni.
hakuna watu wanaolalamikia pesa za yanga ila wanalalamika yanga kuhusishwa na chama cha siasa kinyume na kanuni za fifa na pia washabiki wa yanga na wanachama wao ni wafuasi wa vyama tofauti vya siasa.