mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Walivyokuwa wanamprovoke Maguire pale United mambo yalipokua hayaendi sawa walijua ndio mwisho,Saivi gari limebadilika wanajisahaulisha..
Simba vs P.dynamo mashabiki walibeza Sub ya Bocco alivyofanya jambo wakashangilia.
Aziz ki walimbeza Leo kafunga hat trick wanamuona mtu...
Ilishamtokea kibu pia Ozil pale ujeruman na wengine wengi..
Mashabiki hawasimami na wachezaji kipindi Cha mpito