Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Hahahahaha,watakuambia cr7 ana uefa 5🀣🀣🀣🀣🀣,ni hivo tu hawawezi kubali publicly lakini mioyoni mwao wanajua messi is the GOAT since day one
 
Nakukumbusha tu mchezaji bora wa Muda wote Pelle kacheza timu moja tu Santos ktk ubora wake, miaka yake miwili ya mwisho karibia na kustaafu kaenda kumalizia mpira wake US.
 
Messi kaipeleka Argentina fainali 5 na sio 3
 
Team mess bwana akili hamna. Mwakani ni world cup subirini tuone maajabu yenu
Messi kombe la dunia kafika fainal Ronaldo hatofika ata nusu Hadi anakufa
 
Messi na Ronaldo nani anachukua msitu
 
Kwanza kubeba hilo kombe huko Amerika ya Kusini ni kama kumsukuma mlevi, Euro ndio kila kitu bingwa wa dunia toka 2006 ametokea Europe , huko Amerika ya kusini imebaki tu heshima ya watu wa kale...povu ruksa[emoji3475][emoji2089][emoji1787]
Ureno ya Ronaldo nayo itafika fainal world cup sawa
 
Una bangi wewe Argentina anaingia fainal word cup zilikuwepo izo tu?
Hizo timu za South za America tukifika world cup wote huwa wanaishia kwenye makundi, hawana chochote cha maana
 
As sports person, you need to enjoy one greatness without belittling the other.

Both Messi and Ronaldo have given us the generational show, probably the best in our lifetime.
 
As sports person, you need to enjoy one greatness without belittling the other.

Both Messi and Ronaldo have given us the generational show, probably the best in our lifetime.
You speak fact but here we speak about our opinions
 
GOAT Ni ndujeru aliyeona mwezi leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…