Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa

Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa

Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.

Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.

Daadeki zenu nyinyi.

View attachment 1849190
Hahahahaha,watakuambia cr7 ana uefa 5🤣🤣🤣🤣🤣,ni hivo tu hawawezi kubali publicly lakini mioyoni mwao wanajua messi is the GOAT since day one
 
Popote kambi ?

Man u

Real Madrid

Juventus

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team Ronaldo mna tabu Sana

Mpaka Sasa Messi ndo mchezesha timu wa Barcelona bila Messi huwezi kuona hiyo total football Kama huamini angalia takwimu za Messi kila msimu unapoisha pale Barcelona
Nakukumbusha tu mchezaji bora wa Muda wote Pelle kacheza timu moja tu Santos ktk ubora wake, miaka yake miwili ya mwisho karibia na kustaafu kaenda kumalizia mpira wake US.
 
Kwakweli huyu jamaa nilikuwa namuombea abebe hii kitu,maana mashabiki wa yule mpuuzi mwenye mpira wa kulazimisha walikuwa wanamnanga Messi kwa kutobeba kombe akiwa na Argentina.

Halafu jamaa kajitahidi sana kuliko huyo Penaldo.Kaifikisha timu fainali 3,ikiwemo ya World Cup (sijui ni lini Ronaldo atavaa medali ya mshindi wa 2 wa WC ?). Kwenye Copa America iliyoisha leo Messi ama kafunga au katoa assist kwenye kila ushindi iliopata Argentina. Yule 'Mr.Misifa' anayaweza haya?
Messi kaipeleka Argentina fainali 5 na sio 3
 
Team mess bwana akili hamna. Mwakani ni world cup subirini tuone maajabu yenu
Messi kombe la dunia kafika fainal Ronaldo hatofika ata nusu Hadi anakufa
 
Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?

Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.

Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.

Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.

Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
Messi na Ronaldo nani anachukua msitu
 
Kwanza kubeba hilo kombe huko Amerika ya Kusini ni kama kumsukuma mlevi, Euro ndio kila kitu bingwa wa dunia toka 2006 ametokea Europe , huko Amerika ya kusini imebaki tu heshima ya watu wa kale...povu ruksa[emoji3475][emoji2089][emoji1787]
Ureno ya Ronaldo nayo itafika fainal world cup sawa
 
Una bangi wewe Argentina anaingia fainal word cup zilikuwepo izo tu?
Hizo timu za South za America tukifika world cup wote huwa wanaishia kwenye makundi, hawana chochote cha maana
 
As sports person, you need to enjoy one greatness without belittling the other.

Both Messi and Ronaldo have given us the generational show, probably the best in our lifetime.
You speak fact but here we speak about our opinions
 
GOAT Ni ndujeru aliyeona mwezi leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom