Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Nyie rukeni rukeni humuu team messi
Ila mfungaji wa muda wote mnamfahamu
Mtoa assist wa muda wote mnamfahamu
Mwenye rekodi ya magoli mengi ndani ya muda mfupi hapo hispania mnamjua
Rekodi hio hio ireplicate italia mnamjua
Haya maswala ya ballon d'or mimi siwezi kuyaangalia maana ni kura na kura zinaweza kumtoa mtu sahihi kwenye kitu anachostahili refer to sneijder, xavi ,iniesta and so...
Kwan hilo goli la copa amefunga yeye?
Sasa kwann mumtukuze kiasi hiki...
Kombe moja la kitaifa mnapiga keleeeele watu wakina cr7 wana mawili
 
Huyo
Aliesema nguvu za ronaldo ni sawa na mguu wa messi na sisi team cr7 tusemr kichwa cha cr7 ni sawa sawa na nn cha messi?
 
Mzee em nawewe Google uone kama inaleta majibu tofauti upost hapa
 
Messi kombe la kimataifa anayo mawili
 
Goal ameshinda di maria, lakin messi alikua uwanjan akipambana had dakika ya 90+

Cr7 final euro alicheza takribani dakika 15-20
Watu wakiwa uwanjani wanapambana
 
Wana taarifa kua Cris keshabeba shuzi lake la dhahabu huko😂😂😂😂

4 games
5 goals

Talk your stupidity shit!!!😂😂😂😂😂
 
Hajafunga yeye lakini yeye ndo top scorer na ndo mchezaji Bora wa tournament

 
Mzee em nawewe Google uone kama inaleta majibu tofauti upost hapa
Nigoogle kwa mm mpira siangalii? Wewe umeenda kugoogle opinions za watuukianza kuangalia mpira utajua Nani Ni bora
 
Kitu pekee ambacho Messi anamzidi Ronaldo ni ballon d or vinginevyo vyote kaachwa mbali sana
 
Team Messi msisahau goal la ushindi alifunga Di Maria

Ki messi kilikua kinaruka ruka tu uwanjani

Kila visababu mtatuletea, kwanza mlikua mnamsema sana hana kombe timu ya taifa ronaldo analo, sasa messi ametwaa akiwa best player, mfungaji bora, assist 4, man of the match mara 4 n.k..na amepambana dakika zote kama kawaida yake, mechi ya colombia aliumizwa na kuvuja damu but aliendelea kupambania taifa lake mpaka wameingia final.
Ronaldo kwenye final hajamaliza first half akatolewa.


Ballon d ore hiyoooo ya 7 inakujaaaa.


Mwaka huu mtatukoma tu, tunasubiri na world cup
 
Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali

Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon
 
Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali

Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon
Bangi usivutie chooni...eti wachezaji wa ligi mbalimbali...haaaahaaaaaa
 
mpemba hujaona euro,uefa etc au wewe umeona copa na la liga pekee?(hata la liga yenyewe hajanyayua msimu huu)

Too much know na unacheka kabisa aiseee
Bangi usivutie chooni...eti wachezaji wa ligi mbalimbali...haaaahaaaaaa
 
Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali

Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon

Wataje hao wanaositahili uweke na vigezo vyao..

kuhusu ligi kumbuka
Leo Messi level with Harry Kane on goals scored against Premier League top 6 - and he's never left La Liga
6 months ago, Maggie K.
The Argentine has scored 26 goals against the Premier League best teams - all of them have come in the Champions League.

Leo Messi is fourth-best in goals scored against the Premier League top-6 sides, level with Tottenham's marksman Harry Kane on 26 goals.

This number is truly mind-blowing considering the Argentine has never played in the Premier League - all these goals have arrived in the Champions League.

Here are Leo Messi's numbers against each side from the Premier League top 6:

Arsenal: 9 goals in 6 games
Manchester City: 6 goals in 6 games
Manchester United: 4 goals in 6 games
Chelsea: 3 goals in 10 games
Liverpool: 2 goals in 4 games
Tottenham: 2 goals in 2 games



Ukija timu ya taifa anafanya vizuri sana, club yake anafanya vizuri, world cup kaipeleka timu yake mara moja, na copa amerika mara tatu ila wenzie walimuangusha...sasa unataka ahame aende wapi wakati club kubwa duniani ni Barcelona na kila kitu anachohitajia pale wanampatia na mshahara mnono! Huko unakotaka aende wataweza kumhudumia!!!


Ronaldo amekimbilia timu yenye uhakika wa kila mwaka kubeba vikombe (Juventus) kwanini asiende Napoli au Ac Milan akawape vikombe! Anajua ataibika huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…