Mashabiki wa Simba na Yanga tunatia aibu kwenye mitandao, tujirebishe

N:B moja ya sababu zilizochangia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao.
Hapa umekosea na umedanganya. Club haiwezi terminate contract au kuto extend conteact kwasababu za kishamba kama hizo.

Ya Samatta na Villa wanayajua wao na wala comments za mitandaoni haziwezi kuwa sababu.

NAKATAA.
 
Inaweza kuwa sababu
Mashabiki wanaweka pressure za kipuuzi kwa mchezaji, coach na uongozi
Wazungu wanaamua kumwacha mtu wenu

Kwa sasa page ya Aston villa haina makelele na wapo top 4 EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wale waliokuwa wanadanganya Simba wanawafunga sababu wanapulizia dawa kwenye vyumba halafu wanaomba tuonyedhe uzalendo. Jezi yangu ya Ubuntu ile pale inasubiri siku yake.
 
Hapa umekosea na umedanganya. Club haiwezi terminate contract au kuto extend conteact kwasababu za kishamba kama hizo.

Ya Samatta na Villa wanayajua wao na wala comments za mitandaoni haziwezi kuwa sababu.

NAKATAA.
Endelea kukataa ila ndio ukweli wenzetu hawataki ujinga hawawezi kua na mchezaji anasabisha brand yao inachafuliwa watu wanaenda ku comment eti Jack Greyish anamnyima pasi Samatta mara sijui mliopeni pesa zake sijui hakikikesheni ameshiba tena lile jinga moja linaitwa ujugu liliandika kwenye DM yao maujinga
 
Inaweza kuwa sababu
Mashabiki wanaweka pressure za kipuuzi kwa mchezaji, coach na uongozi
Wazungu wanaamua kumwacha mtu wenu

Kwa sasa page ya Aston villa haina makelele na wapo top 4 EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kuwa hivyo. Villa kuwa top four sio kwasababu ya watanzania kuacha kelele kwenye page zao mitandaoni
 
Endelea kukataa ila ndio ukweli wenzetu hawataki ujinga hawawezi kua na mchezaji anasabisha brand yao inachafuliwa watu wanaenda ku comment eti Jack Greyish anamnyima pasi Samatta mara sijui mliopeni pesa zake sijui hakikikesheni ameshiba tena lile jinga moja linaitwa ujugu liliandika kwenye DM yao maujinga
Acha ujuha wewe. Watu wana invest millions kwa mchezaji eti wamuache kisa kelele za mitandaoni? Ulaya sio bongo dogo. Ingekuwa hivyo Glazer wasingekuwa hapo Man U muda huu maana mashabiki walishapiga kelele sana.

Usichukulie poa haya mambo.
 
Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe.

Watu wanaweka comment, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania tunaonekana malofa mno.

Team inaweza kupost mazoezi likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"

Yaani Watanganyika tupo kama mazuzu, hatuna ustaarabu wengi ni mapoyoyo.

Kabla ya draw Mamelod walikuwa wakipost hawazidi comments 50 ila kwa sasa wakipost comments zinafika zaidi ya 5000 na wanaocomment ni Watanganyika wapumbavu wala Wazulu hawana habari na Mamelod ila wabongo ni kubwabwaja kama malofa.

Nadhani Serikali itoe elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandao, tupunguze japo kutia aibu huko duniani.

Muwe na wasaa mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia hii ndio maana halisi ya michezo na sio userious haya yatapita baada ya mechi.
 
Acha ujuha wewe. Watu wana invest millions kwa mchezaji eti wamuache kisa kelele za mitandaoni? Ulaya sio bongo dogo. Ingekuwa hivyo Glazer wasingekuwa hapo Man U muda huu maana mashabiki walishapiga kelele sana.

Usichukulie poa haya mambo.
Watu wenye akili ndogo hua mnakimbilia kutukana, kifupi ni kwamba haya mambo ni marefu kupita kimo chako wewe baki kwenye level zako za kina Zuchu na Nandi, page yao ina thamani kuliko huyo mchezaji wenu hawawezi kupoteza deals za maana kisa jinga moja limekaa nyumba yakupanga mburahati huko na techno yake Y3 yenye bundle la jero
 
Huu ukweli unakuta sisi ni wangoni watupu ndugu zenu mje na timu mashabiki mtawakuta hukuhuku yani kweli psychological hatupo vizuri
 
1. Ukosefu wa Ajira
2. Ukisefu wa Elimu
3. Ushamba
4. Uchawa
5. Umaskini
 
Sio Dar sio Mikoani, hii nchi ina utitiri wa Malimbukeni wa mitandao sijawahi ona.
 
Nyerere alituweza kwenye lugha tungejua English ingekua zaidi ya hapa, kwenye pages za watu hadi huwa naona aibu.

N:B moja ya sababu zilizochangia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao.
Ilikera na ilikuwa ni aibu ya karne kwa kile kilichokuwa kinafanyika kwenye page ya Aston Villa.
 
Watu wenye akili ndogo hua mnakimbilia kutukana, kifupi ni kwamba haya mambo ni marefu kupita kimo chako wewe baki kwenye level zako za kina Zuchu na Nandi, page yao ina thamani kuliko huyo mchezaji wenu hawawezi kupoteza deals za maana kisa jinga moja limekaa nyumba yakupanga mburahati huko na techno yake Y3 yenye bundle la jero
Huna akili wewe. Nasema tena huna akili. Narudia tena huna akili. Page ya instagram inaweza kuwa na thamani kuliko mchezaji? Huna akili wewe.

Hivi ukitajiwa £20M unajua kwa Tzshs ni kiasi gani?

Rudi ukalale wewe huna akili.
 
Back
Top Bottom