Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kumbe mnajijua eeh ..kuwa ni vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnajijua eeh ..kuwa ni vichaa
Hapa umekosea na umedanganya. Club haiwezi terminate contract au kuto extend conteact kwasababu za kishamba kama hizo.N:B moja ya sababu zilizochangia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao.
Inaweza kuwa sababuHapa umekosea na umedanganya. Club haiwezi terminate contract au kuto extend conteact kwasababu za kishamba kama hizo.
Ya Samatta na Villa wanayajua wao na wala comments za mitandaoni haziwezi kuwa sababu.
NAKATAA.
Endelea kukataa ila ndio ukweli wenzetu hawataki ujinga hawawezi kua na mchezaji anasabisha brand yao inachafuliwa watu wanaenda ku comment eti Jack Greyish anamnyima pasi Samatta mara sijui mliopeni pesa zake sijui hakikikesheni ameshiba tena lile jinga moja linaitwa ujugu liliandika kwenye DM yao maujingaHapa umekosea na umedanganya. Club haiwezi terminate contract au kuto extend conteact kwasababu za kishamba kama hizo.
Ya Samatta na Villa wanayajua wao na wala comments za mitandaoni haziwezi kuwa sababu.
NAKATAA.
Haiwezi kuwa hivyo. Villa kuwa top four sio kwasababu ya watanzania kuacha kelele kwenye page zao mitandaoniInaweza kuwa sababu
Mashabiki wanaweka pressure za kipuuzi kwa mchezaji, coach na uongozi
Wazungu wanaamua kumwacha mtu wenu
Kwa sasa page ya Aston villa haina makelele na wapo top 4 EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujuha wewe. Watu wana invest millions kwa mchezaji eti wamuache kisa kelele za mitandaoni? Ulaya sio bongo dogo. Ingekuwa hivyo Glazer wasingekuwa hapo Man U muda huu maana mashabiki walishapiga kelele sana.Endelea kukataa ila ndio ukweli wenzetu hawataki ujinga hawawezi kua na mchezaji anasabisha brand yao inachafuliwa watu wanaenda ku comment eti Jack Greyish anamnyima pasi Samatta mara sijui mliopeni pesa zake sijui hakikikesheni ameshiba tena lile jinga moja linaitwa ujugu liliandika kwenye DM yao maujinga
Jezi yako haita badilisha matokeo tuliwapiga tano na jezi zenu, hizo za Mamelodi ni kama zetu labda mje uchiKuna wale waliokuwa wanadanganya Simba wanawafunga sababu wanapulizia dawa kwenye vyumba halafu wanaomba tuonyedhe uzalendo. Jezi yangu ya Ubuntu ile pale inasubiri siku yake.
Tulia hii ndio maana halisi ya michezo na sio userious haya yatapita baada ya mechi.Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe.
Watu wanaweka comment, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania tunaonekana malofa mno.
Team inaweza kupost mazoezi likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"
Yaani Watanganyika tupo kama mazuzu, hatuna ustaarabu wengi ni mapoyoyo.
Kabla ya draw Mamelod walikuwa wakipost hawazidi comments 50 ila kwa sasa wakipost comments zinafika zaidi ya 5000 na wanaocomment ni Watanganyika wapumbavu wala Wazulu hawana habari na Mamelod ila wabongo ni kubwabwaja kama malofa.
Nadhani Serikali itoe elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandao, tupunguze japo kutia aibu huko duniani.
Muwe na wasaa mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye akili ndogo hua mnakimbilia kutukana, kifupi ni kwamba haya mambo ni marefu kupita kimo chako wewe baki kwenye level zako za kina Zuchu na Nandi, page yao ina thamani kuliko huyo mchezaji wenu hawawezi kupoteza deals za maana kisa jinga moja limekaa nyumba yakupanga mburahati huko na techno yake Y3 yenye bundle la jeroAcha ujuha wewe. Watu wana invest millions kwa mchezaji eti wamuache kisa kelele za mitandaoni? Ulaya sio bongo dogo. Ingekuwa hivyo Glazer wasingekuwa hapo Man U muda huu maana mashabiki walishapiga kelele sana.
Usichukulie poa haya mambo.
Ni sahihi. Hususani kizazi hiki cha 1990's to 2000's. Aibu.
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯. Ni aibu kwa kweli, vijana wanatutia aibu sana.1. Ukosefu wa Ajira
2. Ukisefu wa Elimu
3. Ushamba
4. Uchawa
5. Umaskini
Ilikera na ilikuwa ni aibu ya karne kwa kile kilichokuwa kinafanyika kwenye page ya Aston Villa.Nyerere alituweza kwenye lugha tungejua English ingekua zaidi ya hapa, kwenye pages za watu hadi huwa naona aibu.
N:B moja ya sababu zilizochangia Samatta kudondoka Aston villa ni matusi na comments za kijinga kwenye page yao.
Huna akili wewe. Nasema tena huna akili. Narudia tena huna akili. Page ya instagram inaweza kuwa na thamani kuliko mchezaji? Huna akili wewe.Watu wenye akili ndogo hua mnakimbilia kutukana, kifupi ni kwamba haya mambo ni marefu kupita kimo chako wewe baki kwenye level zako za kina Zuchu na Nandi, page yao ina thamani kuliko huyo mchezaji wenu hawawezi kupoteza deals za maana kisa jinga moja limekaa nyumba yakupanga mburahati huko na techno yake Y3 yenye bundle la jero