Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

Mumeo kilimoni kashinda uchanguzi?
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]

We umetoa Shs ngapi kwenye budget ya 2022/2023?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ivi unajua kama mahesabu ayaja balance MO ndio anaongezea ela mfano mwaka huu mahesabu ayakubalance kaongeza yeye billion 3.9 unajua ilo wewe kilomoni
Anaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123nYIE
 
Ww kama shabk wa simba mchango wako ni upi kwa klabu??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa mbet anatoa 4.5b kwa mwaka kukaa mbele ya jezi ya Simba huoni ni jambo la ajabu Mo Xtra kukaa mbele kwa mil 150?

Jifunze kutoa hoja bila lugha ya Matusi hayakusaidii zaidi inaonesha ulivyo kubwa jinga
Bora kutoa matusi ukiwa na facts huku ukiwatusi wapiga makelele wasiojua lolote.

Nimekuuliza, wewe ulitaka Mo alipe bei gani? Tuamshe na sisi tuamke. Vinginevyo tuondolee makelele yako au mtoe Mo uweke ya kwako ulipe sawa na M Bet
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Nyie ndio Makala kawachamba leo hutoi chochote halafu mnajifanya mnauchungu,hebu fikiria wanachama wote michango kwa mwaka ni 17M aibu labda hiyo 500M ya jengo ndio tuseme ndio ya wanachama.Hv bila Mo Dewji hii Simba ingefika hapa?Basi mpeni timu Kigwangala ndegelec
 
Bila Mo simba inaweza kujiendesha?
Mo amekuja Simba lini? Simba imeanzishwa 1936 sijui hata kama Babu yake na Mo alikuwa amezaliwa. Simba imechukua makombe ya ligi kuu nchi hii zaidi ya makombe 20 bila Mo kuwepo.

Yaani mmekubali kabisaa kufanywa vyovyote na Mo? Yaani hata Mo akisema mumpe vinyeo vyenu mtakubali kisa amewahi kuisaidia Simba? Hopeless kabisa nyie Wana[emoji881]
 
Nyie ndio Makala kawachamba leo hutoi chochote halafu mnajifanya mnauchungu,hebu fikiria wanachama wote michango kwa mwaka ni 17M aibu labda hiyo 500M ya jengo ndio tuseme ndio ya wanachama.Hv bila Mo Dewji hii Simba ingefika hapa?Basi mpeni timu Kigwangala ndegelec
Yaani huoni huu mkataba unavyoinyonya Simba? Mo anaweza fanya vyovyote atakavyo pale Simba?
 
Bora kutoa matusi ukiwa na facts huku ukiwatusi wapiga makelele wasiojua lolote.

Nimekuuliza, wewe ulitaka Mo alipe bei gani? Tuamshe na sisi tuamke. Vinginevyo tuondolee makelele yako au mtoe Mo uweke ya kwako ulipe sawa na M Bet
Ipo siku Mo atawafirimba nyie Simba maana kumbe mmeshakubali awafanye atakavyo yeye. Natania tu mkuu usiweke chuki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fred vunja bei anatoa 1bil Kwa mwaka tumemficha kwenye Kola alafu Mo Xtra milion 150 yupo mbele? Sasa na Hawa Emirate Aluminium wenye mil 100 ambao kimsingi hawajatofautiana sana na Mo Xtra si na wenyewe tungewaweka mbele tu kuliko kuwaficha huko mabegani[emoji848][emoji848]
Hivi na aluminum wapo sijawahi angalia🤣
 
Back
Top Bottom