Mashabiki wa Simba SC tumechoka masimango, tunarudisha msaada wenu matibabu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema:

"Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap la Yanga wakati nilipoumwa macho,ili pesa hzo nizirejeshe baada ya baadhi ya Wanayanga kuendeleza masimango eti wao ndio walinitibia india!!
Kiukweli inaumiza sana kurejesha pesa lakini inaumiza sana pale mmoja ktk wasemaji wao anaposema yy ndio alinitibia.
Nimezipokea pesa hzo na naendelea kumtafuta Bumbuli ili nimkabidhi mchango wao waliotoa kwa hiyari yao.. Shukran Wanasimba kwa kujali."


Habari ndo hiyo

Updates
Haji amedhibitisha kumtumia Halopesa Bwn.Jerry Muro kiasi cha pesa anazomsimangia
 
Hata akisharudisha haina maana yoyote maana ukweli kila mtu anaujua kuwa Yanga ilimchangia na yeye akaenda kutibiwa.Huo ndo ukweli hata akirudisha haitasaidia kitu maana ndio ukweli wenyewe ambao hawezi kuufuta na kama angejua mapema asingepokea.

Hii tena inaonesha umbumbumbu wa msemaji wa simba baada ya kubanwa kwenye kona hikima inapungua anaropoka. Akarudishe tu lakin lazima arudishe kwa shukrani kwa waliomsaidia sio kwa masimango wala kinyongo bali kwa adabu.
Namshauri asimtafute Bumbuli anaweza asipokee,aiweke direct kwenye acc.No ya Yanga halafu aweke slip ya bank mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajaomba msaada wenu halafu hiyo hela ni group tu la whatsapp ya Yanga walichanga na haikuwa hela iliyotoka as official help kutoka Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alete na riba, alipewa bure siyo ya kurudisha!
Kama kaamua kulipa arudishe na riba, kiuchumi huwez chukua pesa kwa mda mrefu bila riba!

Manara awashukuru hilo group la WhatsApp la Yanga, waliomuondolea ulemavu wa macho, hata kama kuna kautani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliochanga walikuwa wapi kuchanga wakati anaumwa?
Ni kipindi gani hiyo mil.1 ilikuwa na umuhimu zaidi, sasa au kipindi anaumwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika gani kuwa hao waliochanga sasa hawakumchangia wakati anaumwa!!?
Ulitaka nao wajitangaze hadharani? Unajua wanasimba walimsaidia vipi na kiasi gani huyo jamaa?

Mbona wengine huku tunatoa misaada na kuchangia mambo mbalimbali na wala hatujionyeshi wala kutangaza popote!? akili yako nadhani haikuwaza vyema! Huwezi msaidia mtu kitu halafu ukawa unaongelea huo msaada hata kama ni utani! Huo utani wa aina hiyo huwa unaamsha hisia ambazo kwa wengine zinawaumiza!

Jerry alikosea, huwezi tania kwa style ile, aliongea kwa kupayuka, japokuwa alichofanya manara, si sawa ila hilo limekuwa likirudiwa mara kadhaa sana na wanayanga kuhusu kumchangia jambo linalochukuliwa kuwa ni masimango!
Hata angekuwa ni wewe, ungeona ni masimango!

Hebu hata mtu akupe buku 10, then awe anarudia rudia kuongea kuwa alikupa ili kutatua shida flani, uone utakavyoghafilika!

Arudishe tu...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Manyoko nyie mkitutania mnasema utani wa jadi, ila tukiwatania mnarusha mate mpaka kule ooh tunawasimanga. Kama hamtaki utani basi anzisheni utani na azam fc
Na arudie Hali aliyokuwa nayo kiafya kabla ya msaada huo wa fedha ikumbukwe fedha zilitumika wakati anaumwa Sasa waombe ile Hali kabla ya fedha hizo irudi ndipo warudushe fedha, ni watu wa ajabu very stupid guys, hawafai kabisa, wao ndio wanaanisha matusi na kebehi wakirejeshewa kebehi hizo inakuwa nongwa, hovyo kabisa.
 
Washenzi hawa hawajui utani katika mpira ni nini wao wanatania wenzao ila wao hawataki utani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…