OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema:
"Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap la Yanga wakati nilipoumwa macho,ili pesa hzo nizirejeshe baada ya baadhi ya Wanayanga kuendeleza masimango eti wao ndio walinitibia india!!
Kiukweli inaumiza sana kurejesha pesa lakini inaumiza sana pale mmoja ktk wasemaji wao anaposema yy ndio alinitibia.
Nimezipokea pesa hzo na naendelea kumtafuta Bumbuli ili nimkabidhi mchango wao waliotoa kwa hiyari yao.. Shukran Wanasimba kwa kujali."
Habari ndo hiyo
Updates
Haji amedhibitisha kumtumia Halopesa Bwn.Jerry Muro kiasi cha pesa anazomsimangia