GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine walijua Simba SC Jana ingefungwa idadi Kubwa ya Magoli ila haikuwa hivyo.
Hivyo basi Wanachama na Wapenzi wa Simba SC tutafanya Kosa kubwa sana kama tusipoenda Kuwapokea Mashujaa wetu Simba SC pale JNIA Terminal IIII wakirejea kutoka nchini Morocco.
Asanteni sana na Shukran mno Wachezaji wa Simba SC kwa Kuonyesha Ukomavu wenu na Kufa Kiume kweli.