GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kufa ni kufa tu hakuna Cha kufa kiume au kufa kike. Wewe mwenyewe ulisema tusimlaumu kipa Kwa magoli yatakayofungwa kule saizi unajipendekeza. Wametoka na imeisha msubiri kombe la Azam labda mtaambulia chochoteTusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine walijua Simba SC Jana ingefungwa idadi Kubwa ya Magoli ila haikuwa hivyo.
Hivyo basi Wanachama na Wapenzi wa Simba SC tutafanya Kosa kubwa sana kama tusipoenda Kuwapokea Mashujaa wetu Simba SC pale JNIA Terminal IIII wakirejea kutoka nchini Morocco.
Asanteni sana na Shukran mno Wachezaji wa Simba SC kwa Kuonyesha Ukomavu wenu na Kufa Kiume kweli.
Wewe acha kujifariji umekufa na kutupwa nje ya michuano, na miaka yote unayoingia robo fainali uwezo wa timu yako unakuwa umeishia hapo, Ulipigwa na kaizer chiefs maneno yakawa yale yale ''tumetolewa lakini tumejitahidi'' na kaizer akasonga mbele, ukapigwa na Orando pirates maneno yakawa ni yale yale, Orando akavuka, Sasa umepigwa na Whydad unasema mkawapokee wachezaji uwanja wa ndege kwakuwa kombe lenu la robo fainali mmelibeba tiyali!!! Acha kujiaibisha bwana!Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine walijua Simba SC Jana ingefungwa idadi Kubwa ya Magoli ila haikuwa hivyo.
Hivyo basi Wanachama na Wapenzi wa Simba SC tutafanya Kosa kubwa sana kama tusipoenda Kuwapokea Mashujaa wetu Simba SC pale JNIA Terminal IIII wakirejea kutoka nchini Morocco.
Asanteni sana na Shukran mno Wachezaji wa Simba SC kwa Kuonyesha Ukomavu wenu na Kufa Kiume kweli.
wanastahili kupokewa kabisaTusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine walijua Simba SC Jana ingefungwa idadi Kubwa ya Magoli ila haikuwa hivyo.
Hivyo basi Wanachama na Wapenzi wa Simba SC tutafanya Kosa kubwa sana kama tusipoenda Kuwapokea Mashujaa wetu Simba SC pale JNIA Terminal IIII wakirejea kutoka nchini Morocco.
Asanteni sana na Shukran mno Wachezaji wa Simba SC kwa Kuonyesha Ukomavu wenu na Kufa Kiume kweli.
[emoji1787][emoji1787]Ina Maana watu hawana kazi za kufanya?
Ambao hawana kazi,sio nyie mawaziri nyie endeleeni na vikao vya wizaraIna Maana watu hawana kazi za kufanya?
We huwa unaishia wapi???ukijibu nitagWewe acha kujifariji umekufa na kutupwa nje ya michuano, na miaka yote unayoingia robo fainali uwezo wa timu yako unakuwa umeishia hapo, Ulipigwa na kaizer chiefs maneno yakawa yale yale ''tumetolewa lakini tumejitahidi'' na kaizer akasonga mbele, ukapigwa na Orando pirates maneno yakawa ni yale yale, Orando akavuka, Sasa umepigwa na Whydad unasema mkawapokee wachezaji uwanja wa ndege kwakuwa kombe lenu la robo fainali mmelibeba tiyali!!! Acha kujiaibisha bwana!