POTOSHI Mashabiki wa Simba waingia na bango la kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
Screenshot_20261010_160809_Instagram.jpg
 
Tunachokijua
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumekuwa na picha inayowaonesha mashabiki wa Klabu ya Simba, Tanzania wakiwa wamenyanyua bango lenye ujumbe unaosomeka

"TULITAMANI TUWE UWANJANI PAMOJA LEO, LAKINI HATIMA ILIWAHI NDOTO ZETU.
PUMZIKENI KWA AMANI NDUGU ZETU.
29 OCTOBER - NEVER FORGOTEN YOU''​

Ufuatiliaji umejiridhisha kuwa picha hiyo imehaririwa kutoka kwenye picha halisi iliyochapishwa katika ukurasa rasmi wa Instagram wa klabu ya Simba.

Picha halisi ilichapishwa Oktoba 7, 2026 katika ukurasa wa Instagram wa SImba sports club ukiambatana na ujumbe "Furaha yetu kubwa haipo mbali. #NguvuMoja". Tizama hapa
View attachment 3687996
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
ok.
vijana wanafurahia kamera au ni changamoto ya artwork tu? :1Head:
 
Kwenye mechi nyingi huwa tunaona wachezaji wakiwa wamejifunga vitambaa vyeusi kama alama ya kuomboleza,l.

Pia tumekuwa tukiona maombolezo kwa njia ya kusimama dakika moja kimya(kuwaombea waliofariki).

Tumeona hata vikao rasmi vya taasisi na idara za serikali na umma wakisimama kwa dakika moja kumuombea Al Marhum Hafidh Ameir aliyekuwa "inasemekana" ni first gentleman wa Tanzania

Hivyo kwa hilo bango, ni vyema mashabiki wakaachwa womboleze wapendwa wao.

Tatizo ni ustaarabu kwa vyombo vya ulinzi na usalama utakuwepo hata kidogo kama punje ya haradali kuruhusu hilo!!!??
 
Umeandika kizalendo sana
 
View attachment 3687996
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
Mlihamasisha vurugu wakaingia barabarani, wakauliwa. Bado mnahamasisha walete uhayawani huu uwanjani.??? Pumbavu zenu
 
No reforms No Election haikuwa kuhamasisha vurugu
 
Back
Top Bottom