POTOSHI Mashabiki wa Simba waingia na bango la kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

POTOSHI Mashabiki wa Simba waingia na bango la kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
Screenshot_20261010_160809_Instagram.jpg
 
Tunachokijua
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumekuwa na picha inayowaonesha mashabiki wa Klabu ya Simba, Tanzania wakiwa wamenyanyua bango lenye ujumbe unaosomeka

"TULITAMANI TUWE UWANJANI PAMOJA LEO, LAKINI HATIMA ILIWAHI NDOTO ZETU.
PUMZIKENI KWA AMANI NDUGU ZETU.
29 OCTOBER - NEVER FORGOTEN YOU''​

Ufuatiliaji umejiridhisha kuwa picha hiyo imehaririwa kutoka kwenye picha halisi iliyochapishwa katika ukurasa rasmi wa Instagram wa klabu ya Simba.

Picha halisi ilichapishwa Oktoba 7, 2026 katika ukurasa wa Instagram wa SImba sports club ukiambatana na ujumbe "Furaha yetu kubwa haipo mbali. #NguvuMoja". Tizama hapa
sina haja ya kukumbuka vitu useless gentleman 🐒

Maisha yetu yana mambo mengi sana...imagine hata mwaka haujaisha boss na msaidizi wake wameshapigana ngwala? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom