POTOSHI Mashabiki wa Simba waingia na bango la kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
Screenshot_20261010_160809_Instagram.jpg
 
Tunachokijua
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumekuwa na picha inayowaonesha mashabiki wa Klabu ya Simba, Tanzania wakiwa wamenyanyua bango lenye ujumbe unaosomeka

"TULITAMANI TUWE UWANJANI PAMOJA LEO, LAKINI HATIMA ILIWAHI NDOTO ZETU.
PUMZIKENI KWA AMANI NDUGU ZETU.
29 OCTOBER - NEVER FORGOTEN YOU''​

Ufuatiliaji umejiridhisha kuwa picha hiyo imehaririwa kutoka kwenye picha halisi iliyochapishwa katika ukurasa rasmi wa Instagram wa klabu ya Simba.

Picha halisi ilichapishwa Oktoba 7, 2026 katika ukurasa wa Instagram wa SImba sports club ukiambatana na ujumbe "Furaha yetu kubwa haipo mbali. #NguvuMoja". Tizama hapa
Maisha yetu yana mambo mengi sana...imagine hata mwaka haujaisha boss na msaidizi wake wameshapigana ngwala? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
that porojo is none of my business gentleman,

scientifically,
political dynamics are inevitable in nature, unless you are not interested on it and you are not a scientist politically 🐒
 
kama nawaona vile 😂 😂 😂 😂 :Analyze::Analyze::Analyze::Analyze::Analyze:
 
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
View attachment 3687996
Yanga waache mara moja kutumia jina la Timu ya Wananchi!
 
Wanazitumia kudhoofisha watu wenye mawazo mbadala

Kwa faida ya nani? Mbona kama mawazo mbadala ndio yanaongezeka?

Mwenyezi Mungu ameipa Tanzania watu milioni zaidi ya 60. Wote hawa ni watanzania.
Ni ujinga uliopitiliza kudhani watu wachache wana status kubwa kuliko wengi katika umiliki wa Tanzania na rasilimali zake.
 
Wala hatutarajii yeyote kukamatwa kwa sababu kama hii

Hii ni kwa sababu kuomboleza siyo kosa kwa sheria za Tanzania, ndio maana kwenye game moja iliyopita tuliwahi kuanzisha ule wimbo wa Taifa wa NO REFORMS NO ELECTION, na uwanja wote ukalipuka kwa shangwe likiwemo Jukwaa Kuu
View attachment 3687996
We mbwa babako alimwaga mbegu kwenye miiba, we ni hasara ya jumla! Hv kwanini ni mpumbavu hivyo?
 
Kwa faida ya nani? Mbona kama mawazo mbadala ndio yanaongezeka?

Mwenyezi Mungu ameipa Tanzania watu milioni zaidi ya 60. Wote hawa ni watanzania.
Ni ujinga uliopitiliza kudhani watu wachache wana status kubwa kuliko wengi katika umiliki wa Tanzania na rasilimali zake.
Kwao nchi hii ni hatimiliki yao, hupaswi kuwakosoa maana wao wanajiona wako sawa Kila wakati, ukiwakosoa watakupa majina mengi mara mhaini, gaidi, kibaraka wa mabeberu nk, lakini wao wako huru kufanya ujinga wowote kwa kujivika koti la uzalendo
 
Back
Top Bottom