Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

Haha kweli kabisa usemalo mtoa mada....Nakumbuka kpnd kile ndo anakipiga man untd kuna jamaa alikua anatania kua Valencia yuko serious kwasbbu katumwa na kijiji na anatafuta ada za wadogo zake hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…