Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Uhuni wake kama upi?[emoji23] [emoji23] Scholes bhana! Kuna wachezaji ni wapole aisee. Ila Valencia siku hizi kaamua kuwa mhuni si kama zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni wake kama upi?[emoji23] [emoji23] Scholes bhana! Kuna wachezaji ni wapole aisee. Ila Valencia siku hizi kaamua kuwa mhuni si kama zamani
Siku hizi kaiacha hata ila style yake ya kunyoa 'kident' na akizinguliwa anatunisha msuli, si kama zamaniUhuni wake kama upi?
kama juzi dhidi ya Stoke CityMara nyingi huachia fataki matata sana.
Ha ha ha ha bonge la fataki...tena mguu wa mavi...!kama juzi dhidi ya Stoke City
hahahaaaHaha kweli kabisa usemalo mtoa mada....Nakumbuka kpnd kile ndo anakipiga man untd kuna jamaa alikua anatania kua Valencia yuko serious kwasbbu katumwa na kijiji na anatafuta ada za wadogo zake hahaa
Naunga mkono valencia ni bonge la beki ,descent ,smart hardworker
Wapongezeni mabeki wa Arsenal kwa kuvutika kirahisi na kuwa careless...!!!