Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mimi si shabiki wa Man Utd na mara nyingi siipendi sana. Lakini kuna jamaa ananifanya niwe naiangalia Man Utd kila inapocheza. Antonio Valencia ndio kivutio changu na anayefanya niwe naangalia hata mechi za Man Utd.

Antonio Valencia, beki wa kulia wa Man Utd, mmoja kati ya wachezaji mahiri wanaocheza kwa nidhamu kubwa sana huku akitimiza majukumu yake vyema.

Valencia anajua kukaba, anajua kushambulia hasa pale anapofanya 'Over laping' kwenda kupiga krosi langoni mwa adui. Valencia pia anapofunga goli basi huwa ni goli maridhawa sana. Ni full back mahiri sana wa kisasa. Lakini pamoja na uwezo wote huo, mashabiki wa Man Utd hawajamtukuza sana.

Sifa zote zinaenda kwa mabrazameni akina Pogba, Lingard, Mzigo Lukaku nk.
Mashabiki wa soka njooni tumpambe Antonio Valencia a.k.a Mr Consistency ambapo mimi namchukulia kama ndie Beki bora wa kulia kwasasa EPL.

Povu ruksa!!
 
Nikweli anamudu vema nafasi yake
Tangu enzi za ferguson mpaka sasa
Anafaa kuwa nahodha pale UTD
 
Mimi si shabiki wa Man Utd na mara nyingi siipendi sana. Lakini kuna jamaa ananifanya niwe naiangalia Man Utd kila inapocheza. Antonio Valencia ndio kivutio changu na anayefanya niwe naangalia hata mechi za Man Utd.

Antonio Valencia, beki wa kulia wa Man Utd, mmoja kati ya wachezaji mahiri wanaocheza kwa nidhamu kubwa sana huku akitimiza majukumu yake vyema.

Valencia anajua kukaba, anajua kushambulia hasa pale anapofanya 'Over laping' kwenda kupiga krosi langoni mwa adui. Valencia pia anapofunga goli basi huwa ni goli maridhawa sana. Ni full back mahiri sana wa kisasa. Lakini pamoja na uwezo wote huo, mashabiki wa Man Utd hawajamtukuza sana.

Sifa zote zinaenda kwa mabrazameni akina Pogba, Lingard, Mzigo Lukaku nk.
Mashabiki wa soka njooni tumpambe Antonio Valencia a.k.a Mr Consistency ambapo mimi namchukulia kama ndie Beki bora wa kulia kwasasa EPL.

Povu ruksa!!

Antony valencia na neimar nani zaidi?
 
Back
Top Bottom