Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

Wana kazi mkuu..

Wafanyabiashara ( akilimali).

Dereva WA mabus ya Mikoani ( Daudi yanga)

Muandishi wa habari / mpigapicha WA EARADIO. (Jimy kindoki).
 
KPI ya Kwanza ya kufeli maishani ni kuanza kufatilia mambo ya watu na kuacha kufatilia yako.

Kwenye hili umefeli mkuu.

Kuna siku walikuomba nauli ya kwenda huko waendako? Wamewahi kukuomba uwaongezee hela ya guest au ya kula huko waendako?
 
Nimemshangaa sana huyo mleta mada
 
KPI ya Kwanza ya kufeli maishani ni kuanza kufatilia mambo ya watu na kuacha kufatilia yako.

Kwenye hili umefeli mkuu.

Kuna siku walikuomba nauli ya kwenda huko waendako? Wamewahi kukuomba uwaongezee hela ya guest au ya kula huko waendako?
Nadhani na hii ni sababu mojawapo inayotufanya Waafrika kuuendelea kuwa masikini!

Maana tunapenda sana kuumiza vichwa vyetu kwenye mambo ambayo ni uselss kama haya ya kufuatilia maisha ya watu wasio tuhusu.
 
Ni vizuri ukawa hoji wao humu utanaka kuleta taharuki tu
 
Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo.

Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?

View attachment 2749957
Hakuna mtu rahisi kumgongea mke wake kama huyo jamaa wa katikati ( Akilimali Makame) wewe unategea tu siku ya mechi ya Yanga unaingia kwa mke wake mnaweka Azam 2 mnapiga mechi kipindi cha kwanza mnapumzika half time then mnaendelea kipindi cha pili. Refa akisha puliza tu filimbi ya mwisho unaingia zako bafuni kuoga unasepa
 
Attachment
 
Attachments

  • Screenshot_20230915-161442.png
    75.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…