Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

Hakuna mtu rahisi kumgongea mke wake kama huyo jamaa wa katikati ( Akilimali Makame) wewe unategea tu siku ya mechi ya Yanga unaingia kwa mke wake mnaweka Azam 2 mnapiga mechi kipindi cha kwanza mnapumzika half time then mnaendelea kipindi cha pili. Refa akisha puliza tu filimbi ya mwisho unaingia zako bafuni kuoga unasepa
Akilimali Makame amekukosea nn mkuu?
 
KPI ya Kwanza ya kufeli maishani ni kuanza kufatilia mambo ya watu na kuacha kufatilia yako.

Kwenye hili umefeli mkuu.

Kuna siku walikuomba nauli ya kwenda huko waendako? Wamewahi kukuomba uwaongezee hela ya guest au ya kula huko waendako?
KPI ndio kitu gani?
Ufafanuzi
 
Hakuna mtu rahisi kumgongea mke wake kama huyo jamaa wa katikati ( Akilimali Makame) wewe unategea tu siku ya mechi ya Yanga unaingia kwa mke wake mnaweka Azam 2 mnapiga mechi kipindi cha kwanza mnapumzika half time then mnaendelea kipindi cha pili. Refa akisha puliza tu filimbi ya mwisho unaingia zako bafuni kuoga unasepa
Unafikiri umewaza mbaliii....Vipi kuhusu watangazaji wa redio au runinga wenyewe huwaoni
 
Bado una mawazo ya kimaskini sana. Watu wana boda 40 au Daladala 4 au Maduka 2 siyo lazima ww uwe dukani.
 
Wana kazi mkuu..

Wafanyabiashara ( akilimali).

Dereva WA mabus ya Mikoani ( Daudi yanga)

Muandishi wa habari / mpigapicha WA EARADIO. (Jimy kindoki).
Kwahyo hao tu ndio mashabiki wa yanga???watatu tu?
 
Back
Top Bottom