Washabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.