Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Umeomba utagiweSiku ukija na uzi unaowahusu "mashabiki wanao ongoza kwa kutukana hovyo wenzao humu jukwaani, ikiwa ndiyo njia yao pekee ya kujibu hoja" basi naomba unitag.
Utopolo hata habari ikiwa tu na neno YANGA bila maelezo ya ziada, watanunua.Upuuzi Mtupu
Aiseeeh kweli wewe koloWashabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.
Njoo nikubinue nikutoe mwiko uko nyuma nikuchomeke mkuyengeAiseeeh kweli wewe kolo
Hahahaha, Simba na yanga banaWashabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.
Wewe unaongea nini? Nyie mmeshampa klabu kanji kihalali kabisa 49% ni za kwake na pesa hajatoa mpaka leo ni miaka mingapi?Washabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.
Utopolo watakupingaWashabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.

Mtani kwani kuna tatizo? 😀Utopolo hata habari ikiwa tu na neno YANGA bila maelezo ya ziada, watanunua.
Tuambie kwanza bil 20 za Mo ziko wapi?Washabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.
Mimi ni kinara wa kupenda malumbano ya hoja. Na ndiyo maana kuna wadau wengi tu humu tumekuwa tukijibiza kwa staha.Umeomba utagiwe
Kwamba wewe ndio kinara wao sio?
Mkuu uliona zile picha za wanachama wa simba walio hudhuria kikao kikuu cha mangungu na manzoki mwaka jana.Washabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.
Magazeti mengi wanunuzi ni wazee ambao hawajui kutumia vifaa vya kidigital. Mashabiki wa Simba aka lunyasi toka enzi ni wale kada ya wasomi, watu wa kipato cha kati na juu ndio maana mpaka leo imemuwia vigumu MO kuichukua Simba jumla, Maana maswali ni mengi kutokana na uelewa wa mashabiki na wanachama wake.
Uko upande wa pili unaona kabisa mashabiki wake wengi shule hawana na wengi ni wale oya oya!! Unaona gsm alikuja pale yanga kama kit sponsor!
Lakini taratibu akajimilikisha timu! Uongozi wote ni wake,jezi anauza yeye,pesa za wadhamini na mikataba yote ya wadhamini pesa anachukua yeye! Malipo ya uanachama anachukua yeye.
yaani timu imekuwa yake,mpaka rangi ya logo kabadilisha imekuwa ya gold sio njano tena! Mijitu ipo inashangilia tu!
Hapo Simba MO alijaribu akashindwa vichwa vilivyo hapo Simba vina shule ya maana vimemsumbua muhindi sana,mpaka muhindi anaona shida,huwezi kuichukua Simba kizembe tu watu wakuache,ila uko yanga muarabu kajibebea timu mazima.
Ofisi za utopolo muarabu kaziweka kwenye jengo lake pale suremander yaani hakuna check and balance,harafu utakuta yanacheka tu na kuwatania Simba juu ya billion ishirini! Lakini wao wenyewe muarabu ameichukia timu bure halafu bado yanamchangia muarabu pesa kwa kulipa kadi eti za uanachama!
Muarabu anakusanya mabilioni! Na kamuweka kijakazi wake ndio awe sijui rais pale utopoloni! Eti rais!! Rais anakuwa mfanyakazi wa kit sponsor!! Nchi hii ina mijitu mijinga basi tu.Pesa zote ziko chini ya kit sponsor uyo wanaemuita rais hawezi kutoa hata shilingi tano bila ruhusa ya mke wa mwarabu!
Pale Simba uwezi kukuta ujinga huo muhindi kajaribu mbinu zote kashindwa sasa hivi anakula pasu na watu wenye shule yao na sio kumuachia bakuli la minofu peke yake.
Kama na wewe ni shabiki wa Simba, na umejitanabahi kwamba ni wasomi na mnauwezo mkubwa wa kufikiri, basi usomi wenu unatatizo.Washabiki wengi wa yanga ni wale old school,wale ambao hawana uwezo wa kutumia digital platform.