Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

Fan base ya Yanga ni kubwa nchi Nzima, ilo alija anza Leo Tangu enzi za magazeti ya Uhuru, fanyakazi na Mzalendo ukiuliza wale waandishi wakongwe wakina Tido, Charles Hilal n.k wanalifahamu ilo.
Kwasasa kwenye Social Media ndio wanakimbiza kinoma.
Yanga ina mashabiki ambao asilimia kubwa ni uneducated bendera fuata upepo official page yenu ya twitter mwaka wa 3 huu followers ni 250k Mnashindwa na azam
 
Mngekuwa na uelewa Mwenyekiti wa upande wa wanachama angekuwa ni sawa na waiter kwenye vikao vya board?
 
Nje ya maada Kusoma gazeti ni uzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…