Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC.

Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia Ushindi wa Wanaojua kuliko Simba SC Timu ya Yanga SC basi nami Nimuokote wangu wa kwenda Kushangilia nae Kitandani ili nitoe Machungu ya Kidude cha Jana cha Mwarabu ambacho Kinauma kweli kweli.

Yaani Timu Fowadi Jobe na Beki Mbili Nuksi tupu Kapombe ndiyo mnataka mumfunge Mwarabu Kweli?

Mzee Dalali nakuja na Uzi wako baadae la sivyo sema Hela ya Mganga Tsh Milioni 60 uliyopewa ulimpa? Mbona Babu kalalamika kapewa tu Tsh Milioni 3 kwa Kazi Maalum ya jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…