Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza wanaotokana na kinyesi hicho
Upo uhusiano mkubwa sana kati ya ufisadi katika nchi na ustawi wa yanga.
Ipo siku haya mambo yatawekwa wazi wakati wa Mungu ukifika.
Kwa sasa mlipaswa kusikitika tu kuwa mbona mmechangia kiasi kidodo sana.