OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimeamini kumbe mbumbumbu fc wanapata homa kali juu ya Yanga, yaani wanaifuatilia Yanga kuliko Yanga wenyewe. Mbumbumbu fc tulieni Muda ukifika mtapata stahiki yenu. Endeleeni kusajili vi babu.
Nimeamini kumbe mbumbumbu fc wanapata homa kali juu ya Yanga, yaani wanaifuatilia Yanga kuliko Yanga wenyewe. Mbumbumbu fc tulieni Muda ukifika mtapata stahiki yenu. Endeleeni kusajili vi babu.
Muda gani na tuliwafunga goli 4,bumbavuuu endeleeni kuzurura tu mjiniNimeamini kumbe mbumbumbu fc wanapata homa kali juu ya Yanga, yaani wanaifuatilia Yanga kuliko Yanga wenyewe. Mbumbumbu fc tulieni Muda ukifika mtapata stahiki yenu. Endeleeni kusajili vi babu.
Ukiwa mwanachama,mpenzi na shabiki wa Utopolo akili zinawehukaYaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja
HahahahhaaYaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja
Utopolo ina maana pana sanaYaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja