Mashabiki wa Yanga wadanganywa tena kama watoto

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20200827-193738_Chrome.jpg

118615092_641875826749374_8634160542624503737_n.jpg

Baada ya hizi habari Yanga imefuta post zoote zilizozungumzia usajili wa huyu jamaa
 
Nimeamini kumbe mbumbumbu fc wanapata homa kali juu ya Yanga, yaani wanaifuatilia Yanga kuliko Yanga wenyewe. Mbumbumbu fc tulieni Muda ukifika mtapata stahiki yenu. Endeleeni kusajili vi babu.
 
Attachments

  • Utopolo%2CUtopolo%2CUtopolo%2C%2CUto%2CUto%2CUto%21%21%21+Nimewaita+mara+sita%2C%2C%2C%2CPls+P...mp4
    2.1 MB
Nimeamini kumbe mbumbumbu fc wanapata homa kali juu ya Yanga, yaani wanaifuatilia Yanga kuliko Yanga wenyewe. Mbumbumbu fc tulieni Muda ukifika mtapata stahiki yenu. Endeleeni kusajili vi babu.
Muda gani na tuliwafunga goli 4,bumbavuuu endeleeni kuzurura tu mjini
 
Yaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja
Hahahahhaa
Kuliko mashabiki wa Yanga waende uwanjani kushuhudia Uto akipigwa misumari ya moto kwa nyuma ni bora wabaki majumbani kushuhudia kwenye Luninga Mnyama akitafuna Namungo pia burudani ya uhakika.

Sasa anataka kalenda ya TFF ipishe Bonanza la Manyani aka Utopolo?
 
Mkuu maumivu yapo pale pale. Kipigo hakiepukiki hiyo October 18.
Na huyu mwamba ana goli lake siku hiyo
Screenshot_20200828-105834.jpg
 
Yaani nilimshanga Lunyamila analalamika kwanini tff imepanga mechi ya Simba na Namungo siku moja na mechi yao huku akisahau mechi ya Simba inatambulika kwa kalenda za tff nahisi waliwalenga washabiki wa Simba wawasaidie kujaza uwanja
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom