ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia Chadema,na TLP na UDP na UMD etc kiwango hicho hicho cha Milioni 100.Kwa sababu Katika klabu ya Yanga kuna mashabiki wa vyama vyote kama ambavyo ndani ya vyama kuna mashabiki wa timu mbalimbali.
Kwa hapo MMEKOSEA na binafsi napendekeza tu YANGA IFUTWE kabisa isiwepo iitwe tu CCM Football Club.
Cum baf zenu