Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Kajambe mbele chawa wa mama.Urongo
Kajambe mbele chawa wa mama.Urongo
Harakati za chadomo hazijawahi kufanikisha jambo lolote.Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia Chadema,na TLP na UDP na UMD etc kiwango hicho hicho cha Milioni 100.Kwa sababu Katika klabu ya Yanga kuna mashabiki wa vyama vyote kama ambavyo ndani ya vyama kuna mashabiki wa timu mbalimbali.
Kwa hapo MMEKOSEA na binafsi napendekeza tu YANGA IFUTWE kabisa isiwepo iitwe tu CCM Football Club.
Cum baf zenu
Mashabiki wa yanga watakaoshangaa na kulalamikia tukio la timu kuchangia CCM ni wakushangawa maana sijui waliweka wapi akili zao hapo awali kushindwa kujua klabu yao ipo kwenye wamiliki wa chama ganiClips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia Chadema,na TLP na UDP na UMD etc kiwango hicho hicho cha Milioni 100.Kwa sababu Katika klabu ya Yanga kuna mashabiki wa vyama vyote kama ambavyo ndani ya vyama kuna mashabiki wa timu mbalimbali.
Kwa hapo MMEKOSEA na binafsi napendekeza tu YANGA IFUTWE kabisa isiwepo iitwe tu CCM Football Club.
Cum baf zenu
Huyu Jamaa ni mpuuzi sanaHersi Said kawadharau sana mashabiki wa YANGA. Siyo haki kabisa
Watafungiwa miaka 10 kwa mujibu wa FIFA au MaishaTayari kuna barua imeshaandikwa
Hiyo inaitwa adui muombee njaaWatafungiwa miaka 10 kwa mujibu wa FIFA au Maisha
Tulia uandike vizuri comred😀😀Wanasiasa wametuhabia michezo sana
Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia Chadema,na TLP na UDP na UMD etc kiwango hicho hicho cha Milioni 100.Kwa sababu Katika klabu ya Yanga kuna mashabiki wa vyama vyote kama ambavyo ndani ya vyama kuna mashabiki wa timu mbalimbali.
Kwa hapo MMEKOSEA na binafsi napendekeza tu YANGA IFUTWE kabisa isiwepo iitwe tu CCM Football Club.
Cum baf zenu
hao sio wale wa mama wa chadema wachoma vitenge wa BAWACHA gentleman?🐒
No sense! Wewe ambae unaichukia CCM una impact gani. Polepole na mzee Malisa wanahitaji support mchango wako uko wapi?Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia Chadema,na TLP na UDP na UMD etc kiwango hicho hicho cha Milioni 100.Kwa sababu Katika klabu ya Yanga kuna mashabiki wa vyama vyote kama ambavyo ndani ya vyama kuna mashabiki wa timu mbalimbali.
Kwa hapo MMEKOSEA na binafsi napendekeza tu YANGA IFUTWE kabisa isiwepo iitwe tu CCM Football Club.
Cum baf zenu
Tayari nimeshatulia kamandaTulia uandike vizuri comred😀😀