Mashabiki wa Yanga wameamua kuchoma Jezi za Yanga

Harakati za chadomo hazijawahi kufanikisha jambo lolote.
 
Jambo la Rais wa YANGA sizani kama lile jambo kama linakuza mpira
 
Mashabiki wa yanga watakaoshangaa na kulalamikia tukio la timu kuchangia CCM ni wakushangawa maana sijui waliweka wapi akili zao hapo awali kushindwa kujua klabu yao ipo kwenye wamiliki wa chama gani
 
Mamia kwa maelfu? kaka HAPO umeteleza kidogo hio idadi ni KUBWA SANA


Kwishaaaaaaaaa
 
Ifikie wakati Injinia apunguze kujipendekeza. Ameangukia pua kwenye mchakato wa kura za maoni kule Kigamboni, alitakiwa atulie! Hii ishu ya kuihusisha Yanga kwenye harambee ya ccm, nadhani alikengeuka.
 

Hizi ndiyo hatua sahihi za kufanza si kulia lia!
 
No sense! Wewe ambae unaichukia CCM una impact gani. Polepole na mzee Malisa wanahitaji support mchango wako uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…