Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

Ukisema uongozi moja kwa moja unakuwa umemtaja Hersi

Hersi inabidi atupishe, imetosha kwa kweli.

Tuna mshukuru kwa mchango wake katika kipindi chote ambacho amekuwa raisi wa Club.

Lakini katika kipindi hiki cha chaguzi za serikali za mitaa tungependa kuwepo na mgombea mwenza ili apokewe kijiti kwasababu muda wake wa uongozi umekwisha na dalili ndio hizi.
 
Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
 
Wananchi tuache kurushiana lawama kwa kuwa tu timu imefungwa. Tunatakiwa tukae chini na kutafakari hatua za kuchukua.

Mechi ya marudiano ipo jirani mno hivyo hatuna budi kujenga saikolojia ya timu, team work na kuwapa moyo wachezaji.

HILI NALO LITAPITA TU
 
Yanga ikicheza wachezaji wao wanapita uwanjani na kanga Moko iliyo loa wakitingisha wowowo wakisema Al hilal chukua yote yako
 
Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
Akifa? Nayo Yanga itakufa ama itaendelea? Mbona wapo kibao waliofanya mengi mazuri kama yake? Enzi za akina George Mpondela ulikuwa haujazaliwa nadhani.
 
Back
Top Bottom