The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
πππBado Hawajasema
Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yakeUkisema uongozi moja kwa moja unakuwa umemtaja Hersi
Hersi inabidi atupishe, imetosha kwa kweli.
Tuna mshukuru kwa mchango wake katika kipindi chote ambacho amekuwa raisi wa Club.
Lakini katika kipindi hiki cha chaguzi za serikali za mitaa tungependa kuwepo na mgombea mwenza ili apokewe kijiti kwasababu muda wake wa uongozi umekwisha na dalili ndio hizi.
Huyo atakayekuja ana hela za kuwanunua wachezaji wa bei kubwa kama kina Aziz Ki?Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
Kwani yeye ndiye alianzisha Yanga ?Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
Azizi Ki saizi bei yake imeshukaHuyo atakayekuja ana hela za kuwanunua wachezaji wa bei kubwa kama kina Aziz Ki?
Comment yako muhimu mkuuNo comment!
Kwani amekuaje mboni mambo yamekua tofauti?Azizi Ki saizi bei yake imeshuka
Ukiwaona popote waambie makalio yao yamepauka kwa kukalia majivu ya kupikia supu.Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan
View attachment 3162446
Korujuani sio nzuri nilisema Mimi haya mambo ya Korojuani sio mazuri watu wanasema Ubaya UbwelaMaamuzi ya kukurupuka, kumfukuza gamond yatatugharimu sana, huu ni mwanzo tu.
Watajicheki na kur'ujuaan!Korujuani sio nzuri nilisema Mimi haya mambo ya Korojuani sio mazuri watu wanasema Ubaya Ubwela
Akifa? Nayo Yanga itakufa ama itaendelea? Mbona wapo kibao waliofanya mengi mazuri kama yake? Enzi za akina George Mpondela ulikuwa haujazaliwa nadhani.Akiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
Mzee Magoma anatoshaAkiondoka Hersi nani aingie na ataweza kufanya zaidi yake
π π π π π alianza mzee Akilinyingi, kabla ya MagomaMzee Magoma anatosha