FiksiNawajua wawili aliokutana nao na wameondoka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FiksiNawajua wawili aliokutana nao na wameondoka...
kuna watu wana akili nzito. huyu unamkuta mbishi huku hajui kituHayo ndio maneno.
Mzee Kashasha alikuwa na ugonjwa wa figo bado ndugu wanashadidia amekufa kwa Covid 19 na ameipata wakati wa safari ya kutoka Dar Kig na kurudi. Hakika familia zingine zinatia huruma.
Wiki moja kabla ya mechi ya kigoma mlituma polisi kuzuiya kongamano kwa madai ya kuzuiya mikusanyiko.Halafu kuna mechi nyingine ya Simba na Yanga?!!!
Unauliza au?Halafu kuna mechi nyingine ya Simba na Yanga?!!!
Upo kwa mume wa dada yako unasema upo ulaya acha bangi dogoMimi at 31 niko fiti nina uhakika wa kuishi miaka mingine 29 kwani ulaya ukifika 60 ndo hofu ya kufa inakujia.
Mzeee mpili asije ambukizwa covid 19Halafu kuna mechi nyingine ya Simba na Yanga?!!!
Mzeee mpili asije ambukizwa covid 19Halafu kuna mechi nyingine ya Simba na Yanga?!!!
Acha uwoga wewee Alipangiwa atakufa hivyo. Mbona hao walimuambukiza hawajafa.
Kwa mtu mwenye ugonjwa wa figo akipata uviko kuondoka nao ni kama kumsukuma mleviKumbe shida ni figo, sasa tujue kipi? Figo au Uviko?
Madalali wa chanjo nyie hmna loloteWataje majina basi. Inaonekana ulisafiri naye.
Madalali wa chanjo nyie hmna lolote