#COVID19 Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

#COVID19 Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

Wazima na walio na afya dhoofu wote wanakufa, tusikuze mambo. Zaidi tumuombee pumziko la daima!
 
Haya
IMG_20210821_235052.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah ampumzike kwa Amani
Nakumbuka mwaka 2014 kombe la Dunia alionyesha umahiri mkubwa Sana kuchambua SOKA pale TBC1 na kumshinda hata Dr leaky

Pia haji manara ndiye aliyewaomba tbc wamuajiri ni baada yakuona anauwezo mkubwa wa kuchambua mpira kwani Kuna vitu alivichambua ambavyo Haji mwenyewe hakuwa na uelewa navyo, kwakifupi Haji ndiye alimpigia pande tbc awali ya hapo kashasha alikuwa hajulikani.
 
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani.
Ugonjwa upo, tuchukue tahadhali
 
Yaan wakati anaenda kwenye hiyo mechi ya Simba vs Yanga huko Kigoma nilikaa nae siti moja kutoka Dar to Dom, alikosa ndege maana zilikua zimejaa hivyo alitaka kuunga ndege kutoka Dom,

Tuliongea mengi sana juu ya soka, M/Mungu amempenda mja wake nenda salama Mwl Kashasha
 
TBC TBC TBC mtu ambaye kaijengea sifa radio yenu mnamsafirisha kwa bus? Huyu Rioba anajitambua kweli? Je angelikuwa mchambuzi wa siasa za CCM wangempeleka kwa ile mibasi ya KIGOMA.
 
Mwenye video ya mwl kashasha akifafanua juu ya jina la "Ninja" tafadhali aniwekee nione
 
Wabongo nyoko
Maabara zetu za kichwa zinajua hadi siku uliyopata Corona
Wazungu waje
Wabongo nyoko
Maabara zetu za kichwa zinajua hadi siku uliyopata Corona
Wazungu waje wajifunze kwetu
Hapa jirani yangu ameniambia anaumwa kichwa nimemwambia hiyo ni malaria tu. Sasa kama mimi nisiye tabibu najua ugonjwa wa mtu hata kabla hajapimwa, fikiria lab technician Mbongo atakuwa ana ujuzi kiasi gani.

Wazu ngu waje tu
 
Afrika raha sana yaani.

Mtu anafariki kwa Covid alafu anazikwa na mamia ya watu kama wote.
 
Back
Top Bottom