#COVID19 Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

Wazima na walio na afya dhoofu wote wanakufa, tusikuze mambo. Zaidi tumuombee pumziko la daima!
 
Daah ampumzike kwa Amani
Nakumbuka mwaka 2014 kombe la Dunia alionyesha umahiri mkubwa Sana kuchambua SOKA pale TBC1 na kumshinda hata Dr leaky

Pia haji manara ndiye aliyewaomba tbc wamuajiri ni baada yakuona anauwezo mkubwa wa kuchambua mpira kwani Kuna vitu alivichambua ambavyo Haji mwenyewe hakuwa na uelewa navyo, kwakifupi Haji ndiye alimpigia pande tbc awali ya hapo kashasha alikuwa hajulikani.
 
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani.
Ugonjwa upo, tuchukue tahadhali
 
Yaan wakati anaenda kwenye hiyo mechi ya Simba vs Yanga huko Kigoma nilikaa nae siti moja kutoka Dar to Dom, alikosa ndege maana zilikua zimejaa hivyo alitaka kuunga ndege kutoka Dom,

Tuliongea mengi sana juu ya soka, M/Mungu amempenda mja wake nenda salama Mwl Kashasha
 
TBC TBC TBC mtu ambaye kaijengea sifa radio yenu mnamsafirisha kwa bus? Huyu Rioba anajitambua kweli? Je angelikuwa mchambuzi wa siasa za CCM wangempeleka kwa ile mibasi ya KIGOMA.
 
Mhuu wamekufa wa ngapi sasa kama kashasha alikutana na hao watu!!
 
Mwenye video ya mwl kashasha akifafanua juu ya jina la "Ninja" tafadhali aniwekee nione
 

Wazu ngu waje tu
 
Afrika raha sana yaani.

Mtu anafariki kwa Covid alafu anazikwa na mamia ya watu kama wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…