Mashabiki wanne wa Simba wafungiwa

Izi simba na yanga bana ukiwapiga faini ya 5k au 5m ni ndogo sana wataendelea tu na ujinga wa kuingia uwanjani kupitia milango ambayo siyo sahihi dawa yao wapigwe hata faini ya 50m watanyooka
TFF itavunjika muda huo huo
 
Hiyo waliyofanya washabiki wa Simba sio ya kufungiwa kuingia viwanjani. Hiyo ni Police case na inatakiwa wawe rumande saa hizi kenge Hao
Police case Simba wangeshinda mchana kweupe,,


Swali Kwa shabiki wa MWIKO NYUMA FC aliyepigwa.

Ulifata nn kwenye jukwaa la mashabiki wa Simba?tena ukiwa na jezi ya Yanga?

Sheria za inchi zipo wazi,, zinasema ukimfata mtu kwake na kufanya vurugu basi wewe ndy mkorofi,,umekwenda kumdhuru mtu kwake,,

Walichofanya mashabiki wa Simba ni self defence ..
 
Napata mashaka Sana na uelewa wako
 
Izi simba na yanga bana ukiwapiga faini ya 5k au 5m ni ndogo sana wataendelea tu na ujinga wa kuingia uwanjani kupitia milango ambayo siyo sahihi dawa yao wapigwe hata faini ya 50m watanyooka
Ni kweli mkuu adhabu ni ndogo sana. Mimi nadhani adhabu sahihi ni kukatwa point tatu na sh 10ml. Timu husika iwe imeshinda au kufungwa.
 
Kweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
We mkongwe sana JF na kuna watu wanakuheshimu sana humu. Jaribu kuficha uchi wa akili yako mkuu. πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Pumbavu Aucho alistahili kadi nyekundu ni kwa vile mnabebwa sana.
Na hiyo si mara ya kwanza yeye kupiga mchezaji na anaachwa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Na kwa vile orodha ya vilabu bora afrika imetoka na young Africans anashindana na ma giant ya Afrika Itazidi kuwa machungu kwao
Na bado hawajasema [emoji23]
 
Baada ya kula 5G ...now wanajutia
 

idiotic ruling! Banned simba fans were supposed to compensate the victim for his ripped up outfits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…