rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mmesahau ya morogoroHiyo waliyofanya washabiki wa Simba sio ya kufungiwa kuingia viwanjani. Hiyo ni Police case na inatakiwa wawe rumande saa hizi kenge Hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesahau ya morogoroHiyo waliyofanya washabiki wa Simba sio ya kufungiwa kuingia viwanjani. Hiyo ni Police case na inatakiwa wawe rumande saa hizi kenge Hao
Wale pia wakamatweMmesahau ya morogoro
Na kwa vile orodha ya vilabu bora afrika imetoka na young Africans anashindana na ma giant ya Afrika Itazidi kuwa machungu kwaoKiukweli Ile mechi inaonekana ushindi wa Yanga ulikuwa mwiba Kwa mamlaka
Aisee!! KumbeWachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana
Police case Simba wangeshinda mchana kweupe,,Hiyo waliyofanya washabiki wa Simba sio ya kufungiwa kuingia viwanjani. Hiyo ni Police case na inatakiwa wawe rumande saa hizi kenge Hao
Napata mashaka Sana na uelewa wakoPolice case Simba wangeshinda mchana kweupe,,
Swali Kwa shabiki wa MWIKO NYUMA FC aliyepigwa.
Ulifata nn kwenye jukwaa la mashabiki wa Simba?tena ukiwa na jezi ya Yanga?
Sheria za inchi zipo wazi,, zinasema ukimfata mtu kwake na kufanya vurugu basi wewe ndy mkorofi,,umekwenda kumdhuru mtu kwake,,
Walichofanya mashabiki wa Simba ni self defence ..
Ni kweli mkuu adhabu ni ndogo sana. Mimi nadhani adhabu sahihi ni kukatwa point tatu na sh 10ml. Timu husika iwe imeshinda au kufungwa.Izi simba na yanga bana ukiwapiga faini ya 5k au 5m ni ndogo sana wataendelea tu na ujinga wa kuingia uwanjani kupitia milango ambayo siyo sahihi dawa yao wapigwe hata faini ya 50m watanyooka
We mkongwe sana JF na kuna watu wanakuheshimu sana humu. Jaribu kuficha uchi wa akili yako mkuu. 😂😁🤣😄😆😀😃Kweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
Ndio wanasheria wa Simba hawa wanaotaka kwenda mahakamani kufile kesi ya mabango.Napata mashaka Sana na uelewa wako
Pumbavu Aucho alistahili kadi nyekundu ni kwa vile mnabebwa sana.Nimefurahishwa sana na adhabu iliyotolewa kwa Kibu Dennis, Henock Inonga na Djugui Diarra kwa kushangilia maeneo yasiyowahusu.
Hii tabia inaweza kumsababishia mchezaji kutupiwa mawe, makopo ya maji, na kuumizwa kwa sababu tu ya upumbavu wake.
Ila pia sijafurahishwa na hiyo adhabu kwa mwamuzi Emmanuel Mwandembwa. Kwa sababu alijitahidi kuchezesha kwa kufuata sheria 17 za soka! Ukiondoa mapungufu madogo ya kumpa kadi ya njano mchezaji asiyehusika.
Na kama sababu ya kufungiwa kwake ilikuwa ni kutompa kadi nyekundu Aucho, kutokana na kitendo cha kitoto kilichofanywa na Ajibu, na kusababisha Aucho amsukume na kiwiko chake cha mkono! Bado nitaendelea kuamini hiyo Bodi ya Ligi ipo kwa ajili ya kuinufaisha timu fulani, huku Yanga ikiwa si sehemu ya hiyo timu.
Baada ya kula 5G ...now wanajutiaPolice case Simba wangeshinda mchana kweupe,,
Swali Kwa shabiki wa MWIKO NYUMA FC aliyepigwa.
Ulifata nn kwenye jukwaa la mashabiki wa Simba?tena ukiwa na jezi ya Yanga?
Sheria za inchi zipo wazi,, zinasema ukimfata mtu kwake na kufanya vurugu basi wewe ndy mkorofi,,umekwenda kumdhuru mtu kwake,,
Walichofanya mashabiki wa Simba ni self defence ..
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewafungia kwa miezi sita kuingia viwanjani kwenye michezo ya michuano yote ya TFF, mashabiki wanne walioonekana kupitia video kwenye mitandao ya kijamii wakimshambulia shabiki mmoja aliyekuwa amevaa jezi ya klabu ya Yanga katika mchezo tajwa hapo juu.
Kupitia taarifa yake kwa umma TPLB imewataja Mashabiki hao kuwa ni Hassan Khatibu, Hamza Dafa, Patrick Shelukindo na Shaban Anga ambao walifanya tukio hilo katika mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Ihefu FC uliomalizika kwa Simba kushinda 2-1.
Bodi imewataka mashabiki kujiepusha na vitendo vya vurugu na kupigana viwanjani ili kudumisha upendo na umoja michezoni.
View attachment 2816636
View attachment 2816632
View attachment 2816633
View attachment 2816634
View attachment 2816635
Vipi kuhusu Namungo?Kweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
Mkuu wakati mwingne tukubali kuwa utopolo Wana timu bora sana,tukiendlea kuamini kuhusu uchawi tutashindwa kujua mapungufu yetu