Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁
Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya makosa yao, kama hali haitobadilika baada ya michezo walau mitatu mpaka mitano ndio tunaweza kuushinikiza uongozi ufanye jambo.
Lakini kufungwa mechi moja na kuanzw kulalamika kocha aondoke huo ni ujuha wa hali ya juu.
Tutarudia makosa ya msimu ulioisha ya kubadili makocha kila baada ya mechi kadhaa lakini hamna tulichoambulia.
Mashabiki wengi wa Simba ni majuha, mapopoma kichwani hamna kitu kama alivyosema Ismail Aden Rage aliyepata kuwa Mwenyekiti wa Simba.