Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

Usitukane wapi we kilaza,watu wako sahihi kabisa haiwezekan kila tukikutana na yng tunaambulia draw au kipondo ,yan tushakua wateja wao hata kitaa hakukaliki.

Mechi ya Jana tulikua tunamalizia mchezo shida Kuna ujinga unaendelea hpo simba
Kakune nazi kwanza hujui mpira
 
Labda umesahau tu ulikuwa unamaanisha hivi
JamiiForums-189255672.jpg


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁

Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya makosa yao, kama hali haitobadilika baada ya michezo walau mitatu mpaka mitano ndio tunaweza kuushinikiza uongozi ufanye jambo.

Lakini kufungwa mechi moja na kuanzw kulalamika kocha aondoke huo ni ujuha wa hali ya juu.

Tutarudia makosa ya msimu ulioisha ya kubadili makocha kila baada ya mechi kadhaa lakini hamna tulichoambulia.

Mashabiki wengi wa Simba ni majuha, mapopoma kichwani hamna kitu kama alivyosema Ismail Aden Rage aliyepata kuwa Mwenyekiti wa Simba.
Na hapo hajacheza bigirimana!!dah dah dah tungewaua nyingi sana janaaa!!makolo nyieee
 
na uvumilivu PIA.
Jana kuna shabiki wa utopolo kapigwa rungu la kichwa.mimi NI shabiki wa Simba lakini ukinikuta mtaani hauwezi kujua ni shabiki wa timu gani.
 
Mimi sina ujamaa nae usinihusishe na mpuuzi huyo ,mimi ni shabiki huru
Imekula kwako
Mkanusane dhakari huko avic town
 

Attachments

  • 20220813_214654.jpg
    20220813_214654.jpg
    21 KB · Views: 6
Mbona kama kuna kaukweli hivi..na mimi naongezea mbili..(mbumbu)
 
Back
Top Bottom