johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.
Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.
CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.
Maendeleo hayana vyama!