Uchaguzi 2020 Mashabiki wengi wa Tundu Lissu ni wa mitandaoni hawako kamati kuu wala mkutano mkuu wa CHADEMA

Kwa lugha nyingine unasema Lissu anaungwa mkono na watanzania!
 
Yatakuelewa sasa haya mabavicha ya humu mitandaoni?
Unapingana na mleta mada anayesema humu JF wengi si makada bali watanzania wasio wanachama wa chama chochote! So Lissu anaungwa mkono na wananchi wengi wasio na vyama, nimeipenda sana hii! Hata mimi sina kadi ya chama chochote ila namuunga mkono Lissu!
 
Huna kadi ya mpiga kura sasa ndio shida ilipo
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Nyalaundu ina maana ana watu wengi kwenye kamati,kuliko Lisu hiyo ni CHAI.Acheni kutengeneza vichwa habari cha msingi muda utafika mbivu na mbichi zitafahamika.Ila hivi vingine ni story za vijiiwe vya kahawa.
 
Wale CCM wana vitega uchumi na wengine wanazo za ufisadi!
. Sasa hebu twambie chadema hela watatoa wapi na ruzuku ndio hizi mwenyekiti kapiga
Chadema siyo lazima watumie mbinu za dhulma na za kifisadi kama za chama chetu CCM.
 
mbna hata slaa alipigwa mabomu sana na ccm, kipindi kile arusha mabomu ilikua kitu cha kawaida sana lakini saaahv yupo wap? anakula zake maisha hana stress za kuhangaikia chama ambacho hakijui kinaenda wap
 
Chadema inaweza kubadili gia angani na kumteua John Joseph Pombe kuwa mgombea wao kama walivyofanya TLP na UDP.
Nadhani mmefurahi kwa hilo na mjadala utafungwa sasa
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!

Umesema Ukweli. Kuna watu akili zao zina waaminisha watu eti kale kakikundi ka mtandaoni ndiyo wapiga kura 30m.
Au fikra za kikoloni zimewaingia kwa vile kuna wakoloni wamemjaza upepo Tundu kuja kugombea basi wanaona ataweza kupata kura. Waache watu hao wabaki na FIKRA zao za kikoloni maana watatawaliwa kifikra mpaka kufa.
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Yohana Mbatizaji mbona hilo halikuhusuu!!
Hao walioko mitandaoni unawajua??
Wewe ni vuvuzela wa Lumumba,,karagabaho!!
Tangu Lissu ametangaza kurudi naona unawashwa saana!!
We ni jawwmii ya Bashite, au wasiojulikana!!
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Mleta mada naona unateseka saana na TALissu!!
Moja;
Makada wa CDM walipo hukumiwa kifungo au faini moto wa kuchanga ulianzia hapa kwenye mitandao, ukakolea nchi nzima faini zikalipwa!!
Mbili;
Tundu Lissu bila kuwepo alidhaminiwa na watu nchi nzima from west lake zone, central, southen regions cost regions Tanga hadi Zenj to Pemba!!
Hizo ni form tu za kudhamini kampeini bado!!
Ukisikia hivyo unasikia tumbo la kuhara, Bado jamaa anakuja phisical kama muujiza vile!!

Hata fedha za kampeini tutachanga kama hana tulia dawa ikolee!!
 
Ngoja tuone!
 
Team Magufuli haimo mtandaoni? Kipi kinakuwasha kwa TAL kuwa na wafuasi wa mtandaoni?

Ongea uwezavyo lkn TAL atabaki kuwa tingatinga litakalo liondoa jiwe, najua mnapata taabu sana ndio maana hamuachi kupost "oooh TAL beberu, mara oooh hana hela, mara oooh sio chaguo la Mbowe" 🤣🤣🤣

Acheni kuwashwa washa but time will tell
 
Hivi mwanachama akihama chama anahama na wapiga kura wake?kama ahami basi kumpokea kwa imani ya kuongeza idadi ya wapiga kura,ni sawa na kijirisha upepo
 
Back
Top Bottom