johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika mkuu!Hili swala lipo wazi, chaguo la Mbowe ni Nyalandu. Lissu kitamtokea kama kilichomtokea Slaa 2015. Hawa wa mitandaoni wenyewe wanajua kupiga kelele tu nyuma ya keyboard, ila uamuzi ushafikiwa na wenye chama.
Nunueni kadi za uanachama!So what?
Kwa hiyoNyalandu ana pesa na ufadhili kutoka Ulaya , anao uwezo wa kugharamia uchaguzi wote wa CHADEMA kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais, Lisu ni kapuku hata kugharamia kampeni za urais tu hawezi, Mbowe hawezi kumkubali Lisu kapuku hata kwa dawa.
yeah...Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.
Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa Chadema lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.
Chadema wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu alipochukua tu form akaomba na michango hapohapoNyalandu ana pesa na ufadhili kutoka Ulaya , anao uwezo wa kugharamia uchaguzi wote wa CHADEMA kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais, Lisu ni kapuku hata kugharamia kampeni za urais tu hawezi, Mbowe hawezi kumkubali Lisu kapuku hata kwa dawa.
Umakamu mwenyekiti walimpa tu sababu wanajua kwanza hana maamuzi yeyote.yeah...
obviously hata umakamu mwenyekiti wa chama alipigiwa kura na watu wa huku huku mitandaoni!
nani kakudanganya Lissu hana hela?Umakamu mwenyekiti walimpa tu sababu wanajua kwanza hana maamuzi yeyote.
Hii ya kugombea urais ni Mbowe kukubali amuweke Lisu ili zimtoke hela zake yeye Mbowe mfukoni au kumuweka Nyalandu ataejitegemea kifedha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]