Uchaguzi 2020 Mashabiki wengi wa Tundu Lissu ni wa mitandaoni hawako kamati kuu wala mkutano mkuu wa CHADEMA

Ya nini mwaweweseke hivyo?
 
Ila kweli sioni ni jinsi gani Mbowe atakubaliana na wahuni wapiga kabobo wasio hata na kadi ampitishe ombaomba Lissu amuache Nyalandu ambae angejigharamia katika mchakato wote wa uchaguzi. Hii akili siioni kwa mchaga yeyote mzima kichwani
 
Kajambe hukooo!
 
ahahahaha wajumbe siyo watu by steve nyerere
 
Umejuaje kama si umbeya! Kwani tunatembea na nembo?/ acha ushabiki maandazi
 
Lissu ndo tegemeo upinzani, nyarandu kwa siasa za ushindani na magu hawezi kamwe
 

Mgombea urais kupitia Chadema ni Tundu Lissu
 
Inaonekana amewashika pabaya eti poleni saana Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…