Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?
Tujirekebishe
Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]