Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Kwenye ban tutasaidiana mkuu?Weka picha mkuu[emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ban tutasaidiana mkuu?Weka picha mkuu[emoji39][emoji39]
Nikilipata mimi hili naliweka hapa mchana kweupeeeee , fungua PM yako mkuuHapo sasa,yanavyokomaa weka picha weka picha utafikiri tutakuwa wote kwenye ban, akuuuuu. Wajitafutie wenyewe mwenzangu
Nje ya ushabiki wewe jamaa ni mtu flani wa hovyoHata kascreenshoot tu tutoe tongotongo la vibumbu vya utopolo
Weka link tu inatosha. Sio lazima picha.Unataka nipigwe ban?heee we vipi, kwani hujaiona?nenda sehemu husika utaiona mbona zimesambaa tele,ningekuwa na idhini ya kuweka hapa ningeiweka tu ila hili ni jukwaa la michezo tu
Nimekuruhusu.Weka tu.Niweke picha ya utupu hapa ili nipigwe ban?????!!!!!
Binafsi nimeona ile video imenisikitisha sana. Nahisi furaha yao ilikuwa baada ya matokeo ya mechi ngumu dhidi ya Azam. Na inaonekana walikuwa wamelewa wote.Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?
Tujirekebishe
Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Kwenye ile video hakuna viashiria vyovyote kwamba wanashangilia fei toto kurudi kambini.Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?
Tujirekebishe
Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hahahahaha kwanini mkuu? Utani tu usipanikiNje ya ushabiki wewe jamaa ni mtu flani wa hovyo
SureBila picha au video huu Uzi ufutwe hauna maana na ni uzushi tu
Kwanini wahusika wamevaa jezi ya Yanga na siyo jezi za timu zingine?Kwenye hiyo video hakuna uthibitisho kwamba wanashangilia ujio wa feitoto ila wamevaa jezi za yanga na wako uchi wananyonyana k utafikiri wanaigiza movie ya pilau.
Utajua hujui,iwe walikuwa wanashangilia ushindi wa azam,iwe wanashangilia nini ila walichofanya sio......Kwenye ile video hakuna viashiria vyovyote kwamba wanashangilia fei toto kurudi kambini.
Siyo picha mkuu video kabisa hata mimi nimeipata utopolo wamezingua sana mwenye kutaka aje pm tugawane dhambiPicha iko wapi ya hao wacheza uchi tujilumbuwe.
Watakuwa Ni mashogaJapo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?
Tujirekebishe
Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Ili apigwe ban etiKwahiyo mleta mada amegoma kabisa kuweka picha au vdo clip?
Hii thd ifutwe mara moja coz imekosa vivid evidence.
Tena jamaa ananyonya hadi tigoWatakuwa Ni mashoga