Unataka nipigwe ban?heee we vipi, kwani hujaiona?nenda sehemu husika utaiona mbona zimesambaa tele,ningekuwa na idhini ya kuweka hapa ningeiweka tu ila hili ni jukwaa la michezo tuBila picha au video huu Uzi ufutwe hauna maana na ni uzushi tu
Huna picha ww, umepata stry tu. Watu wamevaa tight na madera unaita uchi.Niweke picha ya utupu hapa ili nipigwe ban?????!!!!!
Nasikia ndo walichokua wanafanya aiseee dunia imeishaWalicheza uchi ili tuone vinyesi
Bila picha ni uzushiJapo mimi ni shabiki wa yanga ila hili siliungi mkono,wametudhaliliaha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio,tumeonekana sisi hatuna akili....
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajafanya huo upumbavu???
Tujirekebishe,
Sijapenda, sijapenda ,sijapendanimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile😥😥😥😥😥😥
Kwenye hiyo video hakuna uthibitisho kwamba wanashangilia ujio wa feitoto ila wamevaa jezi za yanga na wako uchi wananyonyana k utafikiri wanaigiza movie ya pilau.Huna picha ww, umepata stry tu. Watu wamevaa tight na madera unaita uchi. Watu wamebalikiwa maumbo hawapendi kukaa uchi. Umbo linaluhusu
naomba videoYaani yule aliyevaa ile jezi nyeusi hadi kinyaa, amekula mpaka kinyesi uuuuuuhhhhwwww dunia simama nishuke mwenzenu ,walimwengu siwawezi
Kama ndivyo hivyo siwezi angalia abadaaaan.... huwa sipendi connection za hivyo maana nimesikiq story tuu na kuhisi ni mbaya sanaaaYaani yule aliyevaa ile jezi nyeusi hadi kinyaa, amekula mpaka kinyesi uuuuuuhhhhwwww dunia simama nishuke mwenzenu ,walimwengu siwawezi
Weka picha mkuu[emoji39][emoji39]Mwanzoni nilifikiri ni waimbaji wa singeli na mchriku, mara naona watu wako uchi wananyonyana k utafikiri wanaigiza movie ya pilau.