Mashairi ya wimbo wa Lucky Dube "Guns & roses" yanagusa sana hasa kwa tunayofanyiwa na viongozi wetu

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Lucky Dube Lyrics
"Guns & Roses"

I don't know why
I keep believing
That one day, they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever in this ya commotion

[Chorus: x3]
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in this

[Chorus: till fade]
 
Bila kutwangana hakuna heshima.Heshima ulaya imekuja baada ya watawala na watawaliwa kudundana hadi wakafikiana mapatano.

Mtawaliwa usipolipa kodi utashughulikiwa hadi uchakae, mtawala ukionja tu achilia kula kodi za watawaliwa utashughulikiwa hadi upotee kabisa.Afrika mtawala ni mungu yeye ndie upanga
 
Mkuu mbona unalalamika? Je viongozi wako wamekudhulumu kiwanja chako? hawajakupa mshahara wako, wamekukataza usiende kazini, wamempiga kisu ndugu yako? au unaendeshwa na ile dhana ya pili pili ya shamba inamuwasha wa mjini?
 
Ushabiki bwana!

Mimi Kila nikijilazimisha kumkubali Dube naishia njiani tu.

Sema nini wana jf karibuni mvinyo basi

Natamani nijumuike na nyinyi ila ndiyo hivyo Tena,niko na Hennessy hapa natamani pisi kali inijoin[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji350][emoji350][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If you stand for the truth.... You will always stand alone! "Lucky Dude" sikiliza na hi kitu hutajuta
 
Wavuta bangi huwa na mashairi mazuri sana juu ya umoja mfano:-
Lucky Dube
Bob Marley
Afande Sele[emoji23]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Tafuta hela wewe tafuta hela uishi maisha utakayo other wise utaishia sikiliza mashairi hivyo hivyo
 
"Soldiers of righteousness", "Affirmative action" na "Release me" ndo nyimbo nimesikiliza kabla sijalala. Huyu jamaa alikua anaimba nyimbo zilizonyooka kwa ajili ya kunyoosha.

Hakuna kitu hajaigusa kwenye mashairi ya nyimbo zake na kila alichogusa ni reality. Apumzike legendary wetu asee
 
Mkuu mbona unalalamika? Je viongozi wako wamekudhulumu kiwanja chako? hawajakupa mshahara wako, wamekukataza usiende kazini, wamempiga kisu ndugu yako? au unaendeshwa na ile dhana ya pili pili ya shamba inamuwasha wa mjini?
Okay
 
Bila kutwangana hakuna heshima.Heshima ulaya imekuja baada ya watawala na watawaliwa kudundana hadi wakafikiana mapatano.

Mtawaliwa usipolipa kodi utashughulikiwa hadi uchakae, mtawala ukionja tu achilia kula kodi za watawaliwa utashughulikiwa hadi upotee kabisa.Afrika mtawala ni mungu yeye ndie upanga
Truth talk
 
Ushabiki bwana!

Mimi Kila nikijilazimisha kumkubali Dube naishia njiani tu.

Sema nini wana jf karibuni mvinyo basi

Natamani nijumuike na nyinyi ila ndiyo hivyo Tena,niko na Hennessy hapa natamani pisi kali inijoin[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji350][emoji350][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu. Nadhani ulipata kampani ya kushusha Hennessy
 
"Soldiers of righteousness", "Affirmative action" na "Release me" ndo nyimbo nimesikiliza kabla sijalala. Huyu jamaa alikua anaimba nyimbo zilizonyooka kwa ajili ya kunyoosha.

Hakuna kitu hajaigusa kwenye mashairi ya nyimbo zake na kila alichogusa ni reality. Apumzike legendary wetu asee
Lyrics zake ni za moto sana
 
Back
Top Bottom