Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

All national Park & game reserve ni Mali ya foreign investment ndio maana yule jamaa mtetezi wa tembo walimpiga risasi kule masaki ili waanze kuwazoa wanavyotaka wao maana alikua km anawawekea kigingi
Mali zote za afrika si zetu ni zao sisi ni walinzi tu.
Hata madini yanamilikiwa na familia ya masonic ya De Beers
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

View attachment 2458542
Hao wanyama hata wakiwepo wewe hufaidiki na chochote zaidi ya kuletewa matozo yasiyo na kichwa wala mkia.

Wayauze tu kwa Wenye akili ili tuwe tunaenda kuyaangalia kwa kulipia.

Pia wambie wahamishie mlima Kilimanjaro na ziwa Victoria huko Abu Dhabi.


(Wazuri Hawafi)
 
Kwenye swala la utunzaji wa Raslimali za taifa hapa ndo Nyerere anajipatia sifa zake. Kwa sababu hakuna wa kuvaa viatu vyake.

Imagine. Alikataa kuchimba madini kwa kua aliamini hana wasomi wa kutosha kumuongoza kusaini mikataba, akaogopa angesainishwa mikataba mibovu.

Imagine carne hii ya 20. Unauzaje raslimali muhimu kama hizi. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi unao zungumziwa.

Kwa kweli ni wakati wa kubadili katiba na kuwe na kipengele cha kumshtaki raisi mahakamani endapo ataonekana kafanya ndivyo sivyo.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hawa waarabu soon watatupita kwa mbuga za utalii. Pale jangwa linapogeuzwa kuwa mbuga, sio ajabu tutakuja anza fata wanyama uarabuni.

Hapa bado Mchina ajaanzisha mbuga zake.
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

View attachment 2458542

Wenyewe wanakwambia imeleta mizigo ya watalii, yani ilibeba mabegi kuleta tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukienda kusini mwa nchi ukitembea vibaya... tembo hawa hapa..
Ukilima maisha yako yapo hatarini...
Sisemi tembo wauwawe.. Hapana
Bali wapelekwe sehemu za mbali..
Ila viboko wavunwe.. Wakiuza nje.. Mapato yanaongezeka.. ( unauza nyama ya kiboko)
Hivi Faru Fausta bado yupo na watoto wake au kashapigwa mnada?
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

View attachment 2458542
Kupaki imekuwa kosa!, labda dereva kabanwa na haja ndogo kashuka kuchimba dawa!, leteni habari kamili sio hizi za kipashkuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…